
Mumy and baby Sasha.... mama anasema anakutakia maisha mema na marefu and anakupenda sana mtoto mzuri, hepi mama's day

mamaa Elizabeth Kilato with mrembo Noreen

mom Ruby Doryn with Prince-Zii ,

Lydia Thomas with baby Kasinga

Thats baby Aeman and mom Hindu... Celebrating the first mothers day together. Wat a beautiful thing to be a mother

Mother's day greetings goes to mamii Nyamo Perusi with her byutiful babies,

Pichani ni mamii Zeimmy Nickolaus Mbululo na baby wake.
Happy mother's day mamaa Sheila Mbululo na mrembo wako jamani...

Mamaa Upendo Mmari Daudi msg yake ya mamas day anasema ''Namshukuru sana MUNGU kunifanya mm mama wa wtt watatu ( Dillon,Dilwen na Donnelly).Nawapenda sana wanangu.MUNGU awabariki siku zote.''

Mama Kareen akiwa na babies wake wazuri baby Alkin na baby Alreenah

Anneth Nusurupia and her lovely baby girl
0 comments:
Post a Comment