Home » » DUUH HII KALI YA MWAKA: WANAFUNZI WAVAMIWA NA MAPEPO GHAFLA.....

DUUH HII KALI YA MWAKA: WANAFUNZI WAVAMIWA NA MAPEPO GHAFLA.....

            
Katika hali isioya kawaida  wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese iliyopo Manzese Uzuri, jijini Dar es Salaam wamesemekana kuvamiwa na nguvu zisizoeleweka zilizosababisha watu ku-conclude kua ni  mashetani;  ambapo wanafunzi hao walianza kuanguka hovyo darasani huku wakipiga kelele na kuongea maneno yasiyoeleweka na kusababisha hofu kutanda maeneo hayo.  Tukio hilo limetokea kuanzia saa nne asubuhi ambapo alianza mwanafunzi mmoja kupiga kelele na kuanguka wakati wakiendelea na masomo ambapo alitolewa nje ya darasa lakini cha kushangaza waliendelea kuanguka wengine wengi huku wakipiga kelele na kupigana kama vichaa.
           
walimu walistaajabu na kukatisha masomo na kuanza kutafuta mbinu na njia mbali mbali za kuwatuliza wanafunzi hao ikiwa ni pamoja na maombi ya haraka haraka yaliyosaidia wanafunzi hao ku-calm down baada ya muda.
        
hapa maombi yakiwa yanaendelea

watumishi wa Mungu walijitokeza na kuanza kuombea wanafunzi hao maana haikujulikana ni mapepo ama ni ugonjwa gani....so kwa tukio kama hili maombi ndio solution ya haraka ilioonekana kusaidia wanafunzi hawa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhWNBnJDZuxwAqAyf3pmxfAVux78uOgvu-9Ej_pv9pjXj9RwzS9dx9U-dDXbPdipg2s4Hk-xWFu01zr6KSoCFpZxEAwUc17hoaTd3sm_XvGsdww4odvjxzYtPw3sxL-kC4kyahUvKxLVcGm/s1600/maz.jpg
Mwanafunzi akiwa hajielewi...........
      
walimu na baadhi ya wazazi wakijadili hali iliotokea
      
Na kama kawaida watu walijaa eneo hilo kushuhudia kinachoendelea..... mpk tunaingia mitamboni haijajulikana wanafunzi hao walikumbwa na nini au pepo gani na liliwakumba kwa sababu gani au kutokea wapi....... tukipata taarifa zaidi kuhusu tukio hili la mwaka, tutawajulisha wasomaji wetu.. 


                   *****JESUS TAKE THE WHEEL******
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger