Home » » LINDA BEZUIDENHOUT ALA SHAVU HOLLYWOOD

LINDA BEZUIDENHOUT ALA SHAVU HOLLYWOOD



Aisee naona huu ni mwaka wako bana, eti nimepata habari umekula shavu la kuwa extra kwenye movie moja ya Hollywood? eeh bana eeh itabidi tupunguziane hizo $$ hahahaha .......enewei jamani kwa wale wasomaji kama hamjamrecognize huyu si mwingine ni yule yule designer wangu wa ukweli ninae mkubali sana tu yaani, last week aliweza ku-rub sholder na mastaa wa ukweli alipojumuika nao kuact muv ya THE WATSON GO TO BIRMINGAM" ambayo ni muv mpya kabsa inayoongelea haki za Weusi enzi hizoo huku Marekani, hapo da Linda alitakiwa kuvaa kama watu wa zamani like 60s huko and she nailed it kama kawa.... duuh hongera sana ...i cant wait to see this movie yaani hata kama uetokea dakika moja nitaitafuta tu..... hahahahaha chezeya ushabiki nini? 
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

2 comments:

Anonymous said...

Jamani Lindaaaa!!! eh wewe huwezekai kabisa hadi movie? hongera and that is all I can say!

Anonymous said...

Linda how come hatukuati kwenye face book? remember there are people wengi sana tunaokufuatilia kwenye facebook page yako ia hatuachi comments au kukuomba kuwa friends either way we are your fans sasa for three days now tunashindwa kufuatilia count down a anniversary!! please please!

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger