Baada ya kua na shida ya parking jijini Daslama, mkandarasi mmoja kaamua kutoa kitu hiki (sio ghorofa la watu kuishi au kuweka maofisi) hio ni parking ilioenda shule, Mustafa Sabodo ameamua kutoa kitu hiki kati kati ya jiji ili kurahisisha lile tatizo la parking jijini Daslama,
picha nimeiiba kwa bwana Michuzi...
0 comments:
Post a Comment