Home »
» MREMBO AUAWA KWA TUHUMA ZA WIZI HUKO TEXAS
MREMBO AUAWA KWA TUHUMA ZA WIZI HUKO TEXAS
Shelton Frey (Shelly) amekumbwa na umauti hapo leo asubuhi baada ya kugoma kusimama walipokua wanakimbizwa na security guide wa store ya Walmart kwa tuhuma za ku-shoplift dukani humo... Shelly mwenye umri wa miaka 27 na mama wa watoto wawili aliambatana na mashost zake Tiasa Andrews, Yolanda Craig wanasemekana kuwa waliiba Walmart humo na kuingia ndani ya gari na kutoka nduki ambapo walikua na watoto wawili garini humo, police aliendelea kushuti ndani ya hilo gari kumlenga Shelly bila kujali km kulikua na watoto ndani humo, na kutokana na mashambulizi hayo risasi ilimpata Shelly ya shingo na kumtoa uhai papo hapo.
hawa ndio mashost wa Shelly walionusurika kupigwa risasi na wametiwa chini ya ulinzi...
Eneo la tukio
Mama mzazi wa Shelton Frey (mama wa marehemu) Akilia kwa huzuni baada ya kupokea habari hizo na kudai mwanae hakupaswa kuuawa kwa kosa kama hilo, na hata kama ameiba kweli kifo hakikua adhabu yake, amesema hatakubali mpaka ajue why police kafanya vile? kwani kuiba sio big deal mpaka kufikia kutoa uhai wa mtu.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment