Baada ya mtoto wao kuzaliwa bwana Jian Feng alileta songombingo na kuanza kumshutumu mkewe kua amecheat kwani alidai mtoto aliozaliwa ni alikua m-baya sana na hakufanana na yoyote kati ya wazazi wake. Bwana Jian aliendelea kumlalamikia mkewe kila siku kua lazima amecheat na ndipo bi shost alipofunguka na kukiri kua hapo awali aliwahi kutumia kiasi kukubwa cha fedha kufanya surgery ili kubadili muonekano wake kwani alikua na sura ngumu kama anakula ndimu..... Jian baada ya kusikia hivyo akachukizwa sana na kumpa talaka my wife wake huyo na kum-sue akidai kua bi shost kamlaghai jamaa ili amuoe wakati anajijua kabisa yeye sio mrembo.
Huyu ndio mtoto ambaye baba mtu alidai kua mtoto ni mbaya sana mpaka anamtisha(anatabia mbaya sana huyo baba, mmmxxxhhhhhhh )
Basi baada ya kufikishana mahakamani Judge akakubaliana na madai ya jamaa kua mwanamke amem danganya jamaa under false pretenses na kum-reward Jian malipo ya $120,000
Maoni yangu: Huyu m-baba ni mjinga sana tena anatabia mbaya kabisa, utamwambiaje mtoto wa kumzaa mwenyewe kua ana sura mbaya na hutaki hata kumuona? pumbafu yake kabisa na Mungu asimpe watoto tena maishani mpk akamtafute huyo huyo aliemuita -ugly baby-. kwanza nimetafuta picha ya huyo baba mtandaoni sijaiona nataka nione na yeye sura lake lilivyo tuone kama ana hadhi ya kuita wenzake ma-ugly.........kwahio wanawake wabaya ndio wasiolewe au yeye ndio muumbaji nini? mmxxxxhhhhh zake; na jaji nae swine kabisa...mfyuuuuu
2 comments:
Looooh, ana wazimu huyo baba
Jamaa chizi huyoo
Post a Comment