Home » » UUWWII HAHAHAHAAA MBAVU ZANGU MIE: MTUHUMIWA AJIPAKA NNYA(HAJA KUBWA) ILI ASIGUSWE NA MAASKARI KTK MAHAKAMA YA KISUTU LEO

UUWWII HAHAHAHAAA MBAVU ZANGU MIE: MTUHUMIWA AJIPAKA NNYA(HAJA KUBWA) ILI ASIGUSWE NA MAASKARI KTK MAHAKAMA YA KISUTU LEO




Maaskari wa Jeshi la Polisi wakijihami na matambara pamoja na mifuko ya nailoni ili kumdhibiti mtuhumiwa aliyejipaka kinyesi mwili mzima na kutaka kuwakimbia askari kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo. Mtuhumiwa huyo ambaye jinalake halikupatikana maramoja alidaiwa kuwa ni mwizi wa simu lakini hakimu alimwachilia huru kutokana na kukosekana ushahidi hata hivyo askari waliendelea kumshikilia tena jambo ambalo lili muudhi na aliporudi mahabusu aliamua kujipaka kinyesi mwilini."

LOL walivyofanikiwa kumtia nguvuni ikabidi wamlazimishe kuvaa nguo sasa,,, mweeh watu sijui wanafikiriaga nini, sasa huyu kicho kinyesi alikipata wapi? au alijikunyia ndio akakichukua? LOL nimecheka kweli .. kuna watu mitambo jamani....

Kisa hiki na www.TheChoice.com
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

2 comments:

Anonymous said...

Huyu si mzima kabisa

Anonymous said...

hahahahahaha jamani maajabu hayaishi duniani....

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger