Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Rick Ross akiimba jukwaani usiku huu mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake kwenye viwanja vya Lidaz Club,wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta likirindima.



Picha kwa hisani ya GPL na zingine Jestina George.com
1 comments:
Uwiiiii hii siku watu walikuwa hawana hata hela ya bia yaani mradi tuu aingie amuone mzee mwenyewe hata km mdomo ukimkauka
Post a Comment