Home » » MKONG'OTO WALIOPATIWA WAISLAM NA MAPOLICE KATIKA VURUGU WALIZOZIANZISHA KARIAKOO MCHANA WA LEO....

MKONG'OTO WALIOPATIWA WAISLAM NA MAPOLICE KATIKA VURUGU WALIZOZIANZISHA KARIAKOO MCHANA WA LEO....


Awali magari ya Jeshi la Wananchi yalipita mitaa ya Kariakoo yakiwa na wanajeshi waliokuwa wakiamuru wananchi kutawanyika lakini hali inaonekana kubadilika maana kwa sasa waumini hao wanajikusanya upya kutimiza azma yao ya kuandamana mara baada ya kumaliza swala ya saa 10 katika msikiti wa Idrissa uliopo Kariakoo. Baadhi ya madai ya waumini hao ni KUKAMATWA SHEIKH PONDA, KUTOONEKANA KWA SHEIKH FARIDI WA ZANZIBAR NA KUKOJELEWA QURAN.







Lakini hali ilibadilika kwani waandamanaji waligoma kuweka hali ya amani km walivyoamriwa na jeshi la police ndio walipoanza kukabidhiwa maumivu ya hali ya juu





Askari kazu waliovalia kiraia waliwapa kipondo cha ukweli mashabiki waliokua wakijtayarisha kwenda kufanya fujo na kuchoma makanisa jijini darisalama ambao hawakufanikiwa azma yao...




Magari ya Jeshi la Wananchi yakipita katika mitaa ya Kariakoo kuwataarifu wananchi kutawanyika eneo hilo.
Baada ya baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu kutawanywa kwa mabomu na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia hapo awali, kwa sasa waumini hao wanajipanga kuvamia kituo cha polisi mtaa wa Msimbazi wakiwa katika makundi makundi mikononi wakiwa na mawe na wakiimba nyimbo. 

Picha na GPL na thechoice.com

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

5 comments:

Jestina George said...

hahaha Tina nimependaje heading yako lolest. This is so sad tuonamba Mungu asaidie tuendelee kuwa na Amani

Anonymous said...

Wamekung'utwa kwa kua walizidi sana, kila siku tulikua tunawanyamazia, haya anzeni tena km mnaubavu... mxxxxhhhhhhhhhhhh

Anonymous said...

LOL sasa wanalia nini kama wanajifanya wajanja.....? wanapendaga sana ugomvi hawa jamaa sijui hawana kazi za kufanya.....wamelitia Taifa aibu, wapi yale masifa yetu ya Amani Tanzania..

Anonymous said...

Tatizo tumewanyima elimu na wenyenye wakawa wavivu kuitafuta
Sasa wamekuwa watu wasio jitambua kila wanachoambiwa wanakubaliana nacho hawa dawa kuwaamishia somalia na siria tukae kwa raha wenye nchi yetu

Anonymous said...

Hakuna mtu aliowanyima elimu, wenyewe ni wavivu kusoma, wanakoma vitabu vya dini tu shule hawataki, elimu ipo wazi kwa kila mtu ila wao ndio mapoyoyo, na tutawakandamiza sana kimya kimya watajikuta wanahamia Somalia bila kupenda, nyambaaaffuuuu

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger