Malia Obama mtoto wa Obama na Michelle wa kwanza aliye 14yrs, amewafurahisha wazazi wake kwani ameonyesha moyo wa kupenda michezo mbali mbali, hususani tennis na anachezea team ya shuleni kwao hapo DC Washington....Akionekana kua makini kabisa pichani juu akiwa anapractice na partner wake.
Malia Obama akichekelea kitu kuhusu mchezo wao akiwa na double partner wake Mica Williams hapo juzi viwanja vya shuleni kwao huko Washington DC
Akiwa na wanafunzi wenzake wakitoa hi kwa mpiga picha.....( aah ukiwa mtoto wa rais bana kila kitu kitaandikwa, hata hi ukitoa wanaandika, haya na mimi wacha niandike tu, mweeh) ole wako ujambe na hio pia itaandikwa lol
Hapa ni baba na mama Malia wakionesha ufit wao, for the love of the game
0 comments:
Post a Comment