Habari zilizotufikia muda mfupi uliopita zinasema watu 65 wamenusurika kufa eneo la Segera Mkoani Tanga baada ya basi la Dar Express lililokuwa likitokea Arusha kwenda Dar Es Salaam kuteketezwa lote kwa Moto.
Basi la Dar Express kutoka Arusha kwenda Dar linateketea kwa moto eneo la Segera..thank God abiria wote wamenusurika hakuna aliepoteza maisha..
Habari zaidi zitawajia punde
Habari zaidi zitawajia punde

Habari na picha kupitia mitandano ya ITV Daima na Ujanaz.blogspot.com
2 comments:
Yesuuuuuuuuuu Mungu atusaidie
Dah this is so sad afadhali wamepona ila vitu vyao sijui watalipwa vipi?
Post a Comment