Home » » BABA HUYU AMELAZIMIKA KUMBEBA MWANAE MPAKA KAZINI BAADA YA MKEWE KUFARIKI MUDA MFUPI BAADA YA KUMZAA MTOTO WAO.

BABA HUYU AMELAZIMIKA KUMBEBA MWANAE MPAKA KAZINI BAADA YA MKEWE KUFARIKI MUDA MFUPI BAADA YA KUMZAA MTOTO WAO.

Bablu Jatav has to take his newborn daughter to work because there is no-one available to look after her after his wife died shortly after giving birth
Bablu Jatav  ni single dad kutoka huko India ambae amelazimika kumbeba mtoto wake mchanga wa mwezi mmoja kila sehemu anayokwenda ikiwa ni pamoja na kazini, baada ya mke wake kufariki muda mchache baada ya kumzaa baby Demini ambaye walimpta baada ya miaka 15 katika ndoa bila mtoto. Bablu ni dereva wa rikshaw....amesema kuwa baada ya mke wake kufariki hali imekua ngumu ya mtoto Demin ambae hana mtu wala ndugu wa karibu wa kumsaidia, na hivyo inambidi ambebe mwanae kila sehemu aendapo.
                   Bablu Jatav says he is now forced to take his baby daughter to work with him everyday as there is no-one to look after her
Bablu Jatav has to take his newborn daughter to work because there is no-one available to look after her after his wife died shortly after giving birth.
                           *******************************************************************************************

                    
WOW jamani huyu baba maskini yaani am so touched na hii story jamani si aone mke mwingine jamani, 
ila wababa wote wangukua hivi ingekua poa sana,  daaah he is such a devoted good dad......wish u all the best, i pray u get help from ur govt or someone or something.....such a GREAT FATHER
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

1 comments:

Anonymous said...

Good job dad, Mungu tu ndio atakulipa huyo ni obligation yako, so no matter what, u have to do whatever to keep her safe.....very good job....

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger