Naibu waziri wa Wizara ya uchukuzi Dr Charles Tizeba akipanda treni wakati wa majaribio ya mabehewa sita ya treni yaliyowekwa kati ya kumi na mbili yanayotarajiwa kuwekwa na kuanza kazi rasmi mwezi wa kumi kwa kupitia Shirika la Reli la Tanzania. Treni hio itapiga trip zake kuanzaia Station Dar es Salaam pale mpaka Ubungo (umbali wa km 12)
Baadhi ya raia wakipanda kwenye moja ya mabehewa kati ya mabehewa sita yaliyowekwa kwa majaribio, ambapo treni hii inatarajiwa kuanza kazi rasmi mwezi wa kumi ikianzia station mpk ubungo...
Baadhi ya wananchi na wafanyakazi wa Shirika la reli Tanzania wakiwa ndani ya moja ya behewa wakifurahia majaribio ya treni hio.
Picha na Michuzi...
0 comments:
Post a Comment