Chadema Uk Wanunua Ambulance, Atakabidhiwa Mlezi Wa Tawi Mh Lema Kwenye Mkutano Wa Reading Kesho. Hii ni moja tu ya mambo waliyomuahidi mheshimiwa Lema alipokuwa hapa UK. Habari hizi zimethibitishwa na mwenyekiti wa Chadema Uk na atatangaza rasmi kesho kwenye mkutano wa reading. Sisi tukiahidi tunatimiza,
Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK. Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama zawadi kwa mheshimiwa Godbless Lema.
M4C wamecharuka sasa, CCM kaeni chonjo, lol M4C beeeibeeeeyyyyy
0 comments:
Post a Comment