Home » » YULE HAUZIGEL ALIYEU MTOTO WA BOSI NA KUTOKOMEA HATIMAYE ATIWA NGUVUNI

YULE HAUZIGEL ALIYEU MTOTO WA BOSI NA KUTOKOMEA HATIMAYE ATIWA NGUVUNI

Mfanayakazi wa ndani aliesababisha kifo cha mtoto wa mwajiri wake mwenye umri wa miezi 7 na kukimbilia pasipojulikana hatimae ametiwa nguvuni na mikono ya sheria, baada ya muungwana mmoja aliemjua alipokua akifanyakazi kumuona katika moja ya mitaa jijini Dar es salaam.

Housegel huyo ambey alitokomea kwa mwajiri wake maeneo ya Sinza baada ya kusababbisha kifo cha mtoto huyo inasemekana bado alikua jijini Dar es salaam na alikua kashapata na bwana ambaye alikua amemuhifadhi kwa muda wote huo mpaka siku raia mwema huyo alipomuona na kumfatilia na kujua anapokaa na kujulisha vyombo husika na ndipo bi dada huyo alipotiwa mbaroni bila huruma.

Ikumbukwe baada ya  kufanyiwa vipimo katika mwili wa mtoto huyo marehemu uchunguzi wa madkari ulibainisha kuwa mtoto alifariki kwa kuzibwa pumzi hivyo kupelekea kumshutumu dada huyu kwa kosa la mauaji kwani baada ya hapo alimlaza mtoto kitandani na kutokomea zake pasipojulikana mpk walipomkata leo hii......

K wa taarifa zaidi tunasubiria kusikiliza heka heka za clous katika leo tena hapo kesho..
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

2 comments:

Anonymous said...

Looh nimefurahi sana alivyokamatwa mi nataka tu kujua kwanini alifanya hivyo jamani uuuh yaani watu wana roho mbaya mbaya mbaya sana jamani uuuh

Anonymous said...

Halafu sijui ndio bwana wake aliemshika mkono maana amekaa ametulia tu kwa uwoga, bora angejipeleka mwenyewe police kipindi kile ila kujificha mpaka umekamatwa utakoma nakwambia na naombea wasikuachie ng'ooo

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger