Vyama vya Upinzani huko Ukraine wametaka kuchomoana roho baada ya kupingana kukubaliana katika mswada wa lugha ipi itumike mahakamani.....
Opposition parties were literally at each others throats as they debated a bill that would allow the Russian language to be used in courts and hospitals in the Russian-speaking regions of the country.
Things got extremely heated, with one lawmaker ending up in hospital after a blow to the head, but surprisingly enough this is not the first time a fierce fight has erupted in Ukraine's parliament.
Inasemekana hii sio mara ya kwanza kwa Wapinzani hawa kushikana mashati, mwaka 2010 waliparanganyana tena kama hivi na kusababisha watu sita kukimbizwa hospital kwani kulikua na varangati la ukweli na vitu kurushwa na ngumi za macho mpk watu kujeruhiwa vibaya, lol pata picha hii inatokea Dodoma patakua hapatoshi eeeh?
Mungu atusaidie sana....
0 comments:
Post a Comment