Home »
» Top five
Top five
Warembo walioingia katika Tano bora katika Shindano la kumsaka Miss Intercollege Southern Highland zone. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment