Home »
» JUKWAA WALIOKAA WAGENI RASMI KTK MAADHIMISHO YA MAALBINO HUKO LINDI JANA
JUKWAA WALIOKAA WAGENI RASMI KTK MAADHIMISHO YA MAALBINO HUKO LINDI JANA
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Ludovick Mwananzila, Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, Mweneyikiti wa Chama cha albino Tanzania Ndg. Ernest Kimaya, na Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Ndg. Danford Makala wakipokea maandamano wakati wa kuadhimisha siku ya Albino Mkoani Lindi ambapo Spika alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya saba ya siku ya Albino yaliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi Jana.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment