Home » » MBAKAJI WA WATOTO HATIMAYE AFUNGWA MIAKA 18

MBAKAJI WA WATOTO HATIMAYE AFUNGWA MIAKA 18


Mtu mmoja aliyejulikana  kwa jina la Robert Mikelsons, mwenye kashfa kuwabaka watoto nchini Uholanzi , amehukumiwa kifungo cha miaka kumi na minane gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuwabaka watoto sabini waliokuwa chini ya ulinzi wake.
Robet Mikelsons, mzaliwa wa Latvia, alifanya uhalifu huo wakati alipokuwa ameajiriwa katika vituoviwili vya malezi ya watoto mjini Amsterdam.
Baadhi ya  watoto waathiriwa wa ubakwaji huo, ni watoto wa umri wa miezi kadhaa na hata hawajafikisha mwaka.
Mtu huyo mwemye umri wa miaka 28, alimmwagia maji jaji aliyetoa hukumu hiyo na kumiminia matusi makubwa jaji huyo wakati alipokua akitoa hukumu hio.
Kutokana na tabia hio alioinesha mtuhumiwa huyo kortini, Mhakama imeoda pia Robert apatiwe  matibabu ya kiakili, kwani inaonekana wazi akili zake hazina akili.

Source: Radeo Netherlands Worldwide
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger