Home »
» MAPIGANO MAKUBWA YAFUMUKA TENA CONGO
MAPIGANO MAKUBWA YAFUMUKA TENA CONGO
Maelfu ya wanakijiji wa Kongo wakimbilia katika border ya Uganda kutafuta hifadhi baada ya machafuko kufumuka tena wiki iliopita, maafisa wanaolinda mipaka hio nchini Uganda waliiambia BBC habari hizi last week.
Wahalifu hao walioanzisha varangati hilo tena huko Congolast wiki wanasemekana ni wafuasi wa Bosco Ntaganda ambaye ndio muasi kiongozi wao anayejulikana kama ''Teminator'' ambaye anatafutwa sana ICC kwa madai ya uhalifu wa kivita nchini humo.
The ICC (The International Criminal Court ) Ambao ni Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari wanamtuhumu na kumtafuta Jenerali Ntaganda kwa kuajiri watoto kama maaskari kwa ajili ya kuunda kundi la waasi kama alivyofanya Thomas Lubanga, ambaye alikua mtu wa kwanza kuwa na hatia na mahakama ya uhalifu wa kivita kwa kusababisha watoto kuingia vitani.
Source: BBC news Africa
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:
Post a Comment