Home »
» HAKUJUA ANA MIMBA MPK MASAA MA5 KABLA YA KUJIFUNGUA
HAKUJUA ANA MIMBA MPK MASAA MA5 KABLA YA KUJIFUNGUA
Tennessee couple Amanda and Billy walikua shocked walipofika hospital kwa ajili ya matibabu ya kawaida na kuambiwa kuwa wanatarajia mtoto hivi punde. Kwanza walishangaa maana mama mtoto anasema hakuwahi kusikia chochote tumboni kwake, wala mtoto kumuvu hata siku moja.
Hata hivyo walifurahi sana na kumuita mtoto ni miracle baby maana walisha hangaika miaka mingi kupata mtoto bila mafanikio. Couple hao wanasema hawakujiandaa maana wenyewe kula yao ishu but wamefurahi sana na wanahope kila kitu ni mipango ya Mungu na hivyo mtoto atakua poa tu....
****************************
mmh jamani unakuaje na mimba mpaka miezi 9 husikii kitu jamani mweeh .....watu wengine wana vituko....haya hongera mama mtoto.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:
Post a Comment