Home »
» Dr. CHEIN AKITOA ZAWADI KWA MFANYAKAZI BORA
Dr. CHEIN AKITOA ZAWADI KWA MFANYAKAZI BORA
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Fedha
tasilim Kidawa Juma said Shilingi za Kitanzania Laki Mbili na Hamsini Elfu
(250,000/=) Mfanyakazi Bora wa Halmashauri ya Wilaya ya Magharibi kupitia
Chama cha wafanykazi (ZALGWU) akiwa katika miongoni mwa wafanyakazi bora
kwa mwaka 2012,wakati wa sherehe za siku ya wafanyakazi Duniani zilizofanyika
leo katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawani
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:
Post a Comment