Haya ni Maandamano makubwa mno yalioandaliwa na Jumuiya ya UAMSHO nchini ZANZIBAR , kushinikiza juu ya haki yao ya kura ya maoni juu ya Muungano pofu uliokosa ridhaa za wananchi,mbali ya kupata vibali vya mihadhara na kuandaman ila Jeshi la Polisi lilitumia nguvu na kuwakamata viongozi wa MUAMSHO na ndipo ilipozuka fujo usiku kucha na risasi za moto kurindima pamoja na mabomu ya machozi, KHOFU KWA VIONGOZI WA KISIASA NA KHASA WALIO KWENYE MADARAKA IMEWATANDA KWA VILE WAZANZIBARI KWA KAULI MOJA NA WALIOWENGI WANADAI KUVUNJWA KWA MUUNGANO ULIOKOSA UHALALI AMBAPO NI KWENDA KINYUME NA AJENDA YA CCM YA SERIKALI MBILI INAYOSHIKILIA HADI SASA. KURA YA MAONI KUAMUA MUSTAKBALI WA NCHI NI JUU YA RAI KUAMUA NA HUWEZI KUWALAZIMISHA RAI MFUMO WA CHAMA NA HAPA NDIO TATIZO KWA CCM KUONA TISHIO JUU YA WAZANZIBARI WALIO WENGI WANAODAI KUVUNJWA KWA MUUNGANO, UTATUMIA NGUVU MPAKA LINI KUZUIA RAI KUHOJI MUUNGANO? IKIWA NDOA BAATIL BASI IVUNJIKE HAKUNA KULAZIMISHANA, WENGI WANAKALIA KIMYA MASUALA YA ZANZIBAR HATA TANGANYIKA NA MEDIA ZAO LAKINI NAWAHAKIKISHIA KAMA HALITASHUGHULIKIWA SUALA HILI KIHEKIMA NCHI YETU ITAKUWA INA MATATIZO KILA PEMBE.
Angalia picha hapo chini
Habari na picha kwa hisani kubwa ya ndugu: Abdulaziz El Shewhdy
Home »
» CHANZO CHA MAANDAMANO NA VURUGU ZANZIBAR
CHANZO CHA MAANDAMANO NA VURUGU ZANZIBAR
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
4 comments:
Na ondokeni zenu Wazanzibar; sie watu wabara tumechoshwa na huu upumbavu! kwendeni mkafie mbali
Halafu mnapeenda sana vita vita kupigana wenyewe ndio mmeona solution hebu tokeni hapa
inshaalah utavunjika tu, na huku zenji tunachoma moto makanisa na mabaa yote, then tunamfata mtanganyika mmooja mmmoja, tunauwa
Post a Comment