Home » » BASI LA MURO INVESTMENT LATEKETEA KWA MOTO MKOANI MOROGORO

BASI LA MURO INVESTMENT LATEKETEA KWA MOTO MKOANI MOROGORO



Basi la kampuni ya Muro Investment, lenye namba za usajili T820BEY lillilokuwa likitokea Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam, limewaka moto na kuteketea  kabisa maeneo ya Maseyu, Mkoani Morogoro. Ajali hiyo iliyotokea majira ya saa 1:15 usiku  wa Mei 8, 2012, haikusababisha madhara kwa abiria isipokuwa mali zao zote ziliteketea kwa moto.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger