Home » » WANAFUNZI MBEYA WAFUNGA BARABARA MASAA MA4

WANAFUNZI MBEYA WAFUNGA BARABARA MASAA MA4

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Isongole, Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya wakiwa wameshika mabango yenye ujumbe ulioandikwa "Matuta kwanza tumechoka kupoteza ndugu zetu" kufuatia kifo cha mwanafunzi mwenzao wa kidato cha pili marehemu Nuru Patrick, baada ya kugongwa na gari ya abiria aina ya Coaster na kufariki papo hapo majira ya saa 1 asubuhi, Aprili 17 mwaka huu katika barabara kuu ya Mbeya/Tukuyu.


wanafunzi hao wakionyesha hasira na msisitizo kwa kufunga barabara hio kwa takribani masaa manne huku wakiweka vizuizi mbalimbali kama magogo na wenyewe kutanda njiani hapo huku wakiwa wamenyanyua mabango yenye kusisitiza matuta..
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger