Home » » Ugumu wa Maisha ..Mama na mtoto Hatarini

Ugumu wa Maisha ..Mama na mtoto Hatarini

Pichani anaonekana mama akiwa amembeba mtoto huku akiwa kazini na sehemu ambayo sio safe kwa yeye kuwa na mtoto katika eneo hilo, ila kwakua she has to work na pengine hana wa kumwachia mtoto nyumbani imebidi aje na mwanae kwa job... sasa mi najiuliza hivi mwajiri wake anaona hii au hana habari? as long as kazi yake imefanywa mengine hayamuhusu au sio?? 


Mama huyu yupo katika kiwanda cha kusagia mkonge na wala hajapewa au hajavaa vifaa vya kumziba asipate madhara kiafya na pia ana mtoto mgongoni jamani hii sawa kweli? 


Hii nimeiiabua huko Morogoro yetu blogspot na picha ni kwa hisani ya John Nditi , daah ila imenisikitisha sana ina maana hapa hata bahati mbaya ikitokewa hawa wahakaumia sijui hata kama kunakulipwa hapo...eeh Mungu tusaidie Tanzania jamani....
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger