Home » » SUPPORT NEW BONGO FLAVA ARTIST

SUPPORT NEW BONGO FLAVA ARTIST

Haya ukiwasikiliza kwa haraka haraka utasema wa naijaaa au Wasauzi kumbe fulu bongo bana nimeipenda hii, nimerushiwa leo na mjamaa ambaye ndio mpango mzima, huyu si mwingine bali ni Mr Eryne Epidu aka the producer  and promoter wa ukweeee....yaani nimependa nikaona sio mbaya ku-share na mabesteee zangu nyei ni mabeeee......mabesteeee lol hao ni Pah One na songi linaondoka kama Amatita,,,,enjoy
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger