Home » » RAIS KIKWETE AJIANDAA NA MEI MOSI KESHO

RAIS KIKWETE AJIANDAA NA MEI MOSI KESHO

Rais Kikwete awasili jijini Tanga leo,kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za mei mosi kesho, zitakozofanyika Tanga hapo kesho. apokelewa na umati wa wana CUF...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete alilakiwa na mamia ya wakaazi wa jiji la Tanga leo baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi kesho katika sherehe za Mei Mosi.

Picha zote kwa hisani ya Issa Michuzi
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger