Home » » MWANAFUNZI AFUTWA SHULE BAADA YA KUPATA MIMBA

MWANAFUNZI AFUTWA SHULE BAADA YA KUPATA MIMBA

Pichani ni huyo binti kwa jina la Honolina Msigala akiwa katika huzuni ya kutundikwa mimba na kutelekezwa na kama hio haitoshi kufukuzwa shule, Francis Godwin kutoka Iringa anaripoti....
Mwanafunzi huyo aliepewa mimba na muendesha malori mmoja mkoani Iringa amefukuzwa shule akiwa ni darala la saba na mtahiniwa mtarajiwa wa mwaka huu, jambo ambalo limefuta ndoto za binti huyo bila kutarajia........

Hivi kwenye kesi kama hizi kwanini ni wanaadhibu upande mmoja tu, wakati mara nyingi mwenye kumrubuni mtoto anaingia mitini na kuachwa ?? Hivi hamjui kwamba uko aendako ataenda kufanya hivyo kwa mtoto mwingine.....??!! aaaggghhhhrrrrr

Kwa habari hii zaidi bofya hapa:  Francis Godwin Blog
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger