Eti jamani hii inawezekana kweli?? maana nimesikia na kusoma magazetini na kwenye blog mbalimbali nchini eti Mbunge Godbless Lema wa Arusha mjini amevuliwa ubunge leo na mahakama kuu ya mjini Arusha kutokana na kukamilika kwa upelelezi uliokua unaendelea na hakimu wa kesi hio kuridhika na majibu ya upelelezi na hivyo kumvua ubunge Mh, Lema .....
Swali langu ni je kweli hii inawezekana? na ni haki ama kuna mkono wa mtu? na ilikuaje mpaka mkakubali kua alishinda na kumuapisha in the first place.....? na sasa kudai haikua ushindi wa kweli? na je wakazi wa Arusha watalielewa hii? maana mi sijaelewa for real...mweeeh Siasa ya bongo its getting even more dramatic and complikated sasa heee.......well, kama mmemvua huo ubunge je bado yuko eligible to gombea tena au ndio wanamdiskwalifai kabisaa...??? mweehhh haya weee just wondering.......
Home »
» MBUNGE AVULIWA UBUNGE HUKO ARUSHA....HII KWELI INAWEZEKANA??
MBUNGE AVULIWA UBUNGE HUKO ARUSHA....HII KWELI INAWEZEKANA??
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment