Home » » MBUNGE AANGUKA BUNGENI JANA

MBUNGE AANGUKA BUNGENI JANA

Mbunge wa Vitimaalum (Cuf), Clara Mwatuka akiingizwa katika gari la kubeba wagonjwa tayari kupelekwa hospitali baada ya kuugua ghafla na kuanguka Bungeni jana alipohudhuria semina ya wabunge kuhusu anuani mpya za makazi na simbo za posta pamoja na mabadiliko ya teknolojia ya utangazaji kutoka analojia kwenda dijitali. 
habari kutoka gazeti la mwananchi
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger