Tumefurahishwa sana na umoja huu mamaz wa Dodoma tunawaombea kila la heri muendelee na umoja huu....more power to all mamaz ....
Home »
» MAMAZ WA DODOMA WAKUTANA RASMI
MAMAZ WA DODOMA WAKUTANA RASMI
Pichani ni wamama wa kutoka Dodoma wa kundi la mothahood lenye makao yake makuu nchini Marekani, wamama hawa walikutana jumamosi hii huko Royal Village Dodoma kwa nia na madhumuni ya kujuana zaidi ili kuendeleza umoja na kusaidiana zaidi ambayo ndio agenda kubwa ya kundi hilo, From right ni Dorice Tesha,katikati Zabibu Ndatama na left ni Aswila Habib....
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment