Home » » KIM NA KANYE LOVERS...??

KIM NA KANYE LOVERS...??

Juzi kati Kim alionekana tena na Kanye mitaa ya Manhattan in New York, wakifanya shopping za hapa na pale, kuonekana kwao huku kumewapa watu maswali mbalimbali kwani mashabiki wangependa kujua km mastaa hawa wanatoka pamoja au lah......


Kipindi cha hivi karibuni Kim ameonekana kabisa akiwa na maluvluv kwa Kanye, kwani alidiriki kusafiri hadi Paris kumuangalia Kanye kwenye fashion show yake nchini humo; Kim kwa msisitizo alionekana kukaa siti za mbele kabisa kuhakikisha hapitwi na kitu. Tukirudi kwa Kanye yeye inasemekana wazi kabisa amemfia Kim tokea yule dem wake Amber Rose alivyoamua kumtosa mjamaa na kuchukuliwa na mchizi mwingine, na kuna songi moja la Kanye amechana live kuwa ''I fell in love with KIM just about the same time she fell in love for him'' lol hehehehe 


Haya tena km mastaa hawa wanatoka then tunawawish all the best ila Kim mapepe naona km atamdisappoint kaka wa watu, Kim shosti tulia basi na wewe mweehhh
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger