Home » » HATIMAYE NIMEJIKUMBUKA LEO

HATIMAYE NIMEJIKUMBUKA LEO

Tina Ndonde: Baada ya kujisahau kwa muda mrefu hatimae leo nilijikuta nikijikumbuka na kuamua kujipa off na kwenda kutengeneza u-hair uliochukua takriban masaa 6,  hayo  masaa 6 nimeshatoa zile break za hapa na pale na lunch break na bathrum break ndio napata masaa sita, azawaizi ni km masaa  8 flani, ila am good for the next 6 weeks...lol so i guess its worth it..
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger