Home » » ALIEMSHUT TRAYVON MBARONI

ALIEMSHUT TRAYVON MBARONI

Jamaa anaye tuhumiwa kwa kumpiga risasi  kijana asiye na hatia na kumpotezea uhai wake hapo juu pichani ni Zimmerman alipofikishwa courtini na kuswekwa lumande na  hatimaye kupelekwa jela kwa charge ya 2nd degree murder..
Mtuhumiwa George Zimmerman shot Trayvon Martni na kumsababishia umauti juzi kati, huko Florida jambo lilichukuliwa very personal na watu wenye asili ya weusi nchini Marekani na wakihusisha tukio hili na masuala ya urangi (Racism) na hivyo kufanya kesi hii kua ngumu sana kwa Zimmerman ilhali yeye alidai it was for self -defense jamabo ambalo limesemekana sio kweli.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger