Nimeona watu wengi kwenye blog mbalimbali wanawasema wasanii wa bongo na matumizi ya English kwenye title za muvi zao, na watu wamelalamika kwanini wasiweke tu title kwa kiswahili.....Mtazamo wangu: Jamani waacheni wasanii waandike hizo title kama wanavyotaka kwani kujifunza kitu lazima mtu uanzie mbali, binafsi sioni tatizo lolote, tatizo naonaga pale muigizaji anapokazana kuongea kiingereza kwenye film na kushindwa ila title tuu, sioni km ni mbaya sana.....
Watanzania sapotini sanaa ya nyumbani kwani inaonekana kuwakwamua vijana wengi sana na kuwapatia ajira na badala ya kukaa na kuwakatisha tamaa kwa madongo sijui kiingereza sijui kichina mi naona tuwape tu sapoti jamani.......i love my country bana kazi kwako
Home »
» Wasanii wa muvi bongo na English
Wasanii wa muvi bongo na English
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment