Home » » Mbwa anayeishi kwenye kilele cha Mt Kilimanjaro

Mbwa anayeishi kwenye kilele cha Mt Kilimanjaro

Mt Kilimanjaro ukionekana kutokea kwenye upande wa Uhuru peak, Mt Kilimanjaro huwa na range ya -4 up to 15 degrees centigrade

Inasemekana kuna watu wamemuona mbwa akiishi katika kilele cha mlima Kilimanjaro, jamboa ambalo limeshangaza watu wengi kwamba iweje mnyama tena mbwa a-survive kataika maingira ya baridi kiasi hicho? na je alifikaje huko na je anakula nini muda wote huo?

Mtalii huyu kutoka France anadai alimuona mbwa huyo alipokua anajaribu kupokea simu na ndipo alipomspot na kumpiga picha na kusahau hata kupokea hio simu.....this is just so amazing how mbwa aishe huko akiwa peke yake na bila kusikia baridi kali la Mlima huo
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger