Pichani ni mwanamuziki wa bongo fleva Mr Dully Sykes akiwa ametumzika(pumzika) baada ya kupata kipondo kutoka kwa mandata wenye hasira kali baada ya ku-run red lite mitaa ya Chang'ombe ambapo matrafiki walikua wamesimamisha magari ili msafara wa muhishiwa flani upite.....
Inasemekana Dully alipita nduki katika mataa hayo aliyotakiwa asimame ili wahishimiwa wapite kwanza, baada ya bi kaka kula nduki hilo mandata walikasirika sana na kuamua kumuandafia (mkimbiza) mr hensaam mpaka wakamtia nguvuni na ndipo walipogundua kua alikua ni yeye ila bado wajeda walionekana kukasirika kwa usumbufu walioupata nakuanza kumpatia kipondo cha ukwee bwana dully.......lol
Home »
» KUTOKA GAZETI LA UWAZI
KUTOKA GAZETI LA UWAZI
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment