Home »
» DALADALA ZAGOMA MWANZA
DALADALA ZAGOMA MWANZA
Waendesha usafiri wa magari ya abiria mjini Mwanza leo wameamua kula ganzi na kuwafanya watu wapate shida ya usafiri kama tunavyoona kwenye picha;na hivyo kupelekea magari ya watu binafsi kama ma landrover, ma kenta na malori ndio yamekua yakimuvuzisha watu sehemu mbalimbali mjini Mwanza...wakazi wa jiji la mwanza wamelalamika kua tangu mgomo huu uanze wamelazimika kuchajiwa more mane kwa watu waliojitolea magari yao kuwamuvuzisha wakazi hao....
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment