Home » » The best vocalist in East Africa

The best vocalist in East Africa

Najua wengi tunamjua msanii huyu na kwa wasiomjua huyu ni Ditto Lameck msanii anaewakilisha muziku wa Tanzania ipasavyo Tanzania, nchi za jirani na hata mbaali nchi za nje...


Historia ya Ditto kwa ufupi...
Ditto alizaliwa 1987 mkoan Kagera na alianza swala zima la music akiwa na umri wa miaka 17, na alishirikishwa katika album ya mwana hip hop maarufu kipindi hico Afande sele na kufanya vizuri sana tena sana na hatimaye kurealse singo yake ya kwanza 2005 iliiondoka kwa jina la DUNIA INA MAMBO
wimbo huu ulimtambulisha vyema kabisa Ditto ambapo tokea hapo watu walianza kurecgonize sauti nzuri ya Ditto na hii  ilimpa kasi ya kufanya mambo mazuri zaidi.


Kutokana na kazi zake kuwa za ukweli Ditto alishiriki kwenye event kubwa ya kumusic nchini Tanzania Fiesta na East African Finest...


Mbali na uimbaji mahiri Ditto ni mtunzi, na mwandikaji wa masongi na aliandika ule wimbo wa kuhusu Malaria wa Zinduka..masongi mengine alioandika Ditto ni pamoja na Angalau na Kariakoo nyimbo ambazo zinaimbwa na wasanii wakubwa tu nchini..


Kwa sasa Ditto amerealese album yake kwa jina la WAPO inayozungumzia maishwa kwa ujumla. Support Ditto, support music Tanzania, support vipaji bongo ...... 

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger