
Wananchi wakisaidiana katika uokoaji wa waliofukiwa na kifusi machimboni humo


Miili ya waliofukiwa na kifusi huko machimboni Lindi
Maafa yalitokea Ruangwa mkoani Lindi katka kijiji cha Mnacho, na kusababisha vifo vya wachimbaji madini saba kuaga dunia baada ya kifusi cha mwamba kuwafunika,waokoaji walijitaidi sana kupata miili hiyo japokuwa pembejeo za vifaa vya uokoleaji vilikua haba na duni, ila walifanikisha zoezi hilo na kufukua miili ipayatayo saba migodini humo.
0 comments:
Post a Comment